Pakua App Yetu Playstore Bofya Hapa!

XBIASHARA

Kilimo Bora cha Korosho I Mshindo Media

https://mjasiriamaliplus.blogspot.com/2020/07/kilimo-bora-cha-korosho-i-mshindo-media.html

Utangulizi

Korosho ni moja ya mazao makuu ya biashara nchini. Kwa sasa zao hili hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania, yaani Lindi na Mtwara ikifuatiwa na Mkoa wa Ruvuma, Pwani na Tanga.

Mbegu

Kupima Udogo

korosho ukua vizuri kwenye maeneo yenye PH 5.6 udongo wa kichanga (sandy) na pia udongo mfinyazi kichanga.

Maandalizi Ya Shamba

kama mazao mengine shamba la korosho linatakiwa kusafishwa, kusawazishwa nakutifuliwa vizuri kwaajili ya kupanda korosho. nakatika mashimo utakayo chimba unaweza kuweka mbolea ya ngombe ukachanganya na udongo mapema ili kuongeza rutuba.

Hali ya hewa

mvua; korosho ustawi vizuri kwenye maeneo yenye mvua 840mm - 1250 mm wastani wa mvua kwa mwaka, napia hukua vizuri kwenye maeneo 0- 500 m kutoka usawa wa bahari.

Matumizi Ya Pembejeo

Kupanda

Ni muhimu sana kuchagua mbegu bora kwa kua mbegu utakayo panda ndo itakuonesha kiasi gani utavuna, baada ya kununua mbegu unachukua maji na chumvi 100g ya chumvi unaweka katika maji kiasi cha lita 5 unakoroga vizuri na unachukua mbegu zako unaweka kwenye maji hayo zile zitakazo zama ndio mbegu zenye uwezekano mkubwa wa kiota, baada ya hapo unazianika vizuri hili ziweze kukauka napia unashauriwa kuto panda mbegu zenye umri zaidi ya mwaka mmoja, nafasi ya kupanda 12m x 6m kwenye maeneo mvua na kiasi cha miti kitakua 139/hectare kwenye maeneo yasio na mvua za kutosha ni 12m x 12m na kiasi cha miti ni 69/ hectare MUHIMU Kuna aina mbili ya kupanda mbegu ya korosho kupanda moja kwa moja; hii ni njia mambayo ni risk sana na inaitaji umakini kwa sababu kunauweze3kano mkubwa wa mbegu kufa. ukitumia njia hii unatakiwa kupanda mbegu tatu 3 katika shimo moja na baada ya miezi mi 3 - 4 ngoa mimea na bakiza mmoja wenye afya na muonekano mzuri. njia ya kitaru; hii ni njia ya pili na ni nzuri kwa sababu unakua huru kuchagua mche ambao umestawi na ulio na muonnekano mzuri , unatakiwa kuamishia miche shambani ikiwa na umri wa wiki 6 na zingatia kuchagua mche wenye afya. na baadae unatakiwa kupunguza majani urefu wa sm60- 90 kutoka kwenye ardhi na pia ondoa majani yote ambayo yanaonekana kuadhiliwa na magonjwa au wadudu na yale yalio kauka.

Dawa Na Wadudu

MAGONJWA Anthracnose powdery mildew hayo ni magonjwa yanayo athiri thana korosho WADUDU Cashew stem girdler cashew weevil coconut bug heliotropes bug meal bug trips aphids KUZUIA NA TIBA ili kuzuia maagonjwa na wadudu unatakiwa palilia mapema weka shamba katika hali ya usafi tumia mbinu ya kuchanganya mazao kwa korosho unaweza kuchanya pamba au maharage hiyo inasaidia kukimbiza wadudu wengine ambao wanakua hawapatani na mazao hayo tumia pesticide kutibu magonjwa tumia insecticide kuuwa wadudu waalibifu.

Magugu

Uvunaji

https://mjasiriamaliplus.blogspot.com/2020/07/kilimo-bora-cha-korosho-i-mshindo-media.html

 

Korosho ufikia hatua ya kuzaa matunda pale inapo kua na umri wa miaka 2 1/2 hadi miaka mitatu napia matunda ukomaa pale inapo kua na miaka 9 hadi 10 uwezekano wa mkoroso kuishi ni miaka 30 hadi 40 na kuvuna hua kunaanza mwezi october hadi mwezi december

.........................................................................................

About Mshindo Media

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.