Pakua App Yetu Playstore Bofya Hapa!

X
MJASIPLUS

DARASA HURU: Jinsi Ya Ku-Activate Program Ya Internet Download Manager (Idm) Bila Kulipia | Ujasiriamali.


Tumaini letu wote mnaendelea vizuri, Leo tutafundisha ni namna gani unaweza kui-activate program ya intenet downlod Manager na kutumia kwa muda wote pasipo kuilipia (permanent)

Program za kupakua au kudownload zimekuwa nyingi sana mitandaoni siku hizi, watu wengi hupenda kutumia program ya IDM kwenye kudownload vitu mbalimbali. isipokuwa tatizo la program hii ufanya kazi kwa siku chache tu na kuhitaji kulipiwa ili kuendelea kuhitumia hivyo basi.

Kutokana changamoto za watu kushindwa kulipia program hii, MjasiriamaliPlus imetengeza Program yenye uwezo wa ku-activate IDM na kuweza kuhitumia bila kufanya malipo ya aina yoyote.

MUHIMU.

  Ni muhimu kuwa na Program yetu ya IDM ACTIVATOR itakayokuwesha kufanikisha ili.
  Hivyo ili kufanikisha zoezi ili fuata hatua zifuatazo

HATUA

Download Program ya IDM Install program ya Internet Download Manager.Download program yetu ya IDM ( SETUP + ACTIVATOR ) Kupitia link hii

                                    DOWNLOAD HERE

Fungua program ya IDM ACTIVATOR uliyo-download kwa ku-extract kwa kutumia program moja kati ya hizi7zip, win rar, win zip n.kRun as Administractor program ya IDM ACTIVATOR.

Endelea kufanya installation ya program hiyo mpaka mwisho bonyeza FINISH.Rudi kwenye Desktop utaona ICON ya IDM ACTIVATOR Bonyeza ICON hiyo kisha YES baada ya hapo utabonyeza ENTER (Key).

Fungua Internet downloader Manager nenda  Help->About IDM utaona imesajiliwa kama Software Support Tanzania.

          Mpaka hapo utakuwa umefaniwa ku-Activate Internet Download manager.

                 ******************

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.