Pakua App Yetu Playstore Bofya Hapa!

X
MAPISHI

CHAKULA: Mapishi ya Maharage na Spinach | Mshindo media.


Mahitaji
Maharage yaliyochemshwa kiasi
Spinach zilizokatwa kiasi
Vitunguu maji 2
Nyanya 1/2 kopo
Swaum/Tangawizi 1 kijiko cha chakula
Curry powder 1 kijiko cha chai
Olive oil
Chumvi
      JIFUNZE: Jinsi Kupunguza Unene, Lishe Maalum.
Matayarisho
Kaanga vitunguu vikianza kuwa vya brown tia tangawizi/swaum kisha nyanya. Pika mpaka nyanya ziive kisha tia curry powder na chumvi. Vipike kiasi kisha tia maharage na maji kidogo kisha funika na uache vichemke. Baada ya muda tia spinach vipike pamoja na maharage mpaka ziive kisha ziipue. Baada ya hapo mboga yako itakuwa tayari kwa kuseviwa.
********************

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.